POST: MWALIMU DARAJA LA III B - FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE)(RE-ADVERTISED) - 5 POST

Posted 7 hours ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 5 Potential Applicants

POST: MWALIMU DARAJA LA III B - FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE)(RE-ADVERTISED) - 5 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-02-10 2025-02-20

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •                  i.       Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
  •                ii.       Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia
  •               iii.       Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za  Maendeleo ya Wanafunzi
  •               iv.       Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
  •                v.       Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa  ushauri nasaha na unasihi
  •               vi.       Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
  •              vii.       Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
  • na             viii.       Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza (English Literature) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulIka na Serikali

REMUNERATION: TGTS-C

Apply Now

Apply Before: 21 February 2025
Apply Now