POST: AFISA USAJILI MSAIDIZI II ( REGISTRATION ASSISTANT II) - 8 POST

Posted 1 month ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 17 Potential Applicants

POST: AFISA USAJILI MSAIDIZI II ( REGISTRATION ASSISTANT II) - 8 POST

EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •        i.    Kupokea na kuingiza kumbukumbu za hati katika kompyuta.       ii.    Kufungua majalada ya hati mpya.     iii.    Kupokea maombi na kutayarisha taarifa za uchunguzi wa hati (Search Report).    iv.    Kufunga hati zilizokamilika (Binding) na kuziwasilisha masjala.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye cheti cha Uthamini na Usimamizi wa Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: TGS B

Apply Now

Apply Before: 17 December 2024
Apply Now